Genesis 50:15

Yosefu Awaondolea Ndugu Zake Mashaka

15 aNdugu zake Yosefu walipoona kwamba baba yao amekufa, wakasema, “Itakuwaje kama Yosefu ataweka kinyongo dhidi yetu na kutulipa mabaya yote tuliyomtendea?”
Copyright information for SwhNEN